NDANI YA NIPASHE LEO

26Apr 2016
Mpoki Bukuku
Nipashe
Akizungumza na wananchi wa mtaa wa Kimanga, eneo la ABC juzi, wakati wa uzinduzi wa kikundi cha polisi jamii, Diwani wa kata hiyo, Manase Mjema, alisema ngoma hiyo mbali na kuwa kero, pia imekuwa...

Said Meck Sadiki.

26Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiki, alisema kati ya watumishi hao, yupo kigogo wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ambaye mamlaka ya kumsimamisha kazi au...

Christopher Ole Sendeka.

26Apr 2016
Christina Haule
Nipashe
Sendeka alisema hayo jana wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa madiwani na viongozi wakuu wa CCM katika kata zote za Manispaa ya Morogoro. Aidha, alimshauri Rais Magufuli, kama anavyofanya...

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe: picha ya maktaba.

26Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Amesema pamoja na jitihada ambazo Rais ameanza kuchukua kuhusiana na suala hilo, lakini bado hajagusa maeneo nyeti ambayo yamekuwa kilio kikubwa cha Watanzania ikiwamo suala la Tegeta Escrow, ambalo...
26Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Rufaa za kodi ya Sh. trilioni 6.9 ziko kwenye Baraza la Usuluhishi, Mahakama, Deni la Taifa lazidi kupaa, lafikia Sh. trilioni 33.5, ATCL haina Cheti cha uendeshaji tangu mwaka 2010, Mauzo ya UDA hayakuwa halali, yatakiwa kurudishwa mkononi mwa umma,
Uuzwaji wa Uda ni aibu BAADA ya kusubiriwa kwa muda mrefu, taarifa ya CAG iliyotolewa jana, imeanika madudu kwenye uuzaji wa hisa za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), ikiwa ni pamoja na...

mkurugenzi mtendaji wa crdb, dk. charles kimei.

26Apr 2016
Jaliwason Jasson
Nipashe
Eneo la Magugu ni maarufu kwa kilimo cha mpunga na alizeti. Akizungumza katika uzinduzi wa tawi la CRDB Magugu mwishoni mwa wiki, Meela alisema huu ni wakati muafaka kwa vijana wa eneo hilo...
26Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Azam tayari imeshashinda michezo 16 mpaka sasa na inakamata nafasi ya tatu nyuma ya Yanga na Simba, ikijikusanyia pointi 55. Timu hiyo imebakisha michezo sita kumaliza mechi 30 za Ligi Kuu Bara...

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabuza Serikali, Prof. Mussa Juma Assad, akimkabidhi ripoti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 Makamu Mwenyekiti kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Aeshi Hilaly.

26Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Ripoti hiyo ya mwaka 2014/15, imeonyesha pia kuwa deni la taifa limekuwa kubwa kiasi kwamba sasa serikali inakopa ili kulilipa, jambo alilosema ni hatari kwa uchumi wa nchi. Ripoti iliyotolewa...
26Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa juzi na Mkurugenzi wa Huduma za Biashara wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (Tantrade), Fidelis Mugenyi, wakati wa mafunzo ya utunzaji, uchinjaji, uchunaji bora na usindikaji bora wa...
26Apr 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Tatizo ambalo limekuwa likiwasumbua hasa wamiliki wa shule binafsi nchini ni madai ya kuwapo kwa asilimia kubwa ya walimu wanaozalishwa kutoka katika vyuo vilivyopo, wasio na viwango vinavyotakiwa...

Halima Dendego.

26Apr 2016
Hamisi Nasiri
Nipashe
Dendego alitoa kauli hiyo juzi wilayani Masasi alipokuwa akizungumza na vikundi vya wajasiriamali na kukabidhi hundi za mkopo kwa vikundi 68 vya wanawake na vijana katika wilaya ya Masasi. Alisema...
26Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
“Kitendo cha wabunge hawa kulipwa posho za vikao ilhali hawachangii chochote ni uvunjaji wa kanuni za Bunge na Katiba ya nchi.”
Ijumaa iliyopita, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni itangaza kutochangia mjadala huo kutokana na kile ulichoeleza kuna ukiukwaji mkubwa wa Katiba ya nchi katika uendeshaji wa Bunge na uongozi wa nchi...
26Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jonathan Tipapa ana umri wa miaka tisa.Kila siku anafanya safari ya kwenda na kutoka shule. Anakabiliana na hatari nyingi ambazo zilikaribia kumfanya akaribie kuacha shule – kama ilivyotokea kwa...
26Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
***Ni katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga na Coastal Union iliyovunjika kabla ya muda baada ya mashabiki kufanya vurugu...
Baadhi ya wadau wa soka wamelilaumu jeshi la polisi kwa kushindwa kuwadhibiti mashabiki na kusababisha vurugu hizo zilizomjeruhi vibaya mshika kibendera baada kupigwa jiwe kichwani. Mwamuzi wa...
26Apr 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Utunzi wa sheria, kama inavyoonekana wakati wote, ni nadra sana kuwa jambo shirikishi licha ya lugha ya kuwa wabunge wetu wanapaswa kutueleza sheria gani zinakwenda kutungwa. Lakini utekelezaji wa...

wanariadha: picha ya maktaba.

26Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza jana Kalihaye alisema alikuwa akizihofia nchi hizo kutokana na rekodi zao nzuri, lakini sasa hofu imepungua kutokana na wanariadha wake kuiva kimazoezi. Alisema inaendelea kujifua ili...
26Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Wachezaji hao wa kimataifa kutoka Burundi na Uganda, wanapishana bao moja. Hadi sasa, tayari Tambwe amepachika mabao 51 katika mechi za ligi tangu msimu wa 2013/14 akitoka nchini Burundi, huku...

mitambo ya TPDC.

26Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Akisoma ripoti yake mbele ya waandishi wa habari jana, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, alisema katika mwaka wa fedha 2014/2015, Songas ililipa gawio la dola za...
26Apr 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Kwa sasa ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Babati, Reuben Mfune na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoa utetezi wao katika kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa jimbo hilo. Kesi hiyo...

waziri wa nchi, kazi, vijana na ajira, jenister mhagama.

26Apr 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Hivi karibuni Tanzania imekumbwa na mfumuko wa bei ambao ulianza mapema mwaka huu na bado unaendelea kuumiza wananchi, wakiwamo wafanyakazi kutokana na kulipwa mshahara isiyokidhi mahitaji. Baadhi...

Pages