BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
PICHA: MPIGAPICHA WETU
Maandamano ya amani mjini Kahama yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa, Freeman Mbowe.
PICHA: CHADEMA