Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na Usalama imebomoa Makao maarufu kwa Jina JUMBA LA DHAHABU lililokua likitumiwa na Waraibu wa Dawa za kulevya Mkoa wa Arusha.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED