Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, Seleman Maulid, akitoa elimu ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Imalilo, wilayani humo.
PICHA: MPIGAPICHA WETU