Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu  (wa pili kulia), akiongoza maandamano ya wanachama na wafuasi wa chama hicho jijini Dodoma, wakiishinikiza serikali kupatikana kwa katiba mpya.
PICHA: PETER MKWAVILA