Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, katika Uwanja
Picha: Ikulu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Riziki Pembe Juma akimpokea Rais wa Namibia, Dk. Nangolo Mbumba alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kwa ajili ya kushiriki sherehe za miaka 60 ya Muungano, leo.
Picha: Mpigapicha Wetu
Sehemu ya viongozi mbalimbali pamoja na wananchi waliohudhuria sherehe hizo.
Picha: Pigapicha
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi na viongozi mbalimbali, wakati wa sherehe hizo.
Pwani
Sehemu ya viongozi mbalimbali pamoja na wananchi waliohudhuria sherehe hizo.
Picha: Ikulu