BAADHI ya wafanyakazi wa Clouds Media wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mfanyakazi mwenzao (mtangazaji) Gadner G Habash ambaye anapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele Kikelelwa, wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.
PICHA: MAKTABA
Mtoto wa Gardner G Habash, Malkia Karen akiwa kwenye majonzi mazito wakati anamuaga baba yake mzazi.
PICHA: MAKTABA