NDANI YA NIPASHE LEO

16Nov 2019
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Inadaiwa kuwa Haule, mkazi wa Kijiji cha Magagula, alifia kwenye chumba cha mahabusi cha ofisi ya Ofisa Mtendaji huyo.Akizungumza na Nipashe jana kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
16Nov 2019
John Juma
Nipashe
Kimsingi, swali hilo limejibiwa na hata kama linaendelea kuwasumbua wachache ni jukumu lao kujua kuwa hakuna kikwazo na yote sasa yanawezekana. Msingi wa makala hii ni hatua za hivi karibuni...

Kilimo hai huchanganya mazao mengi kwenye eneo moja, mathalani kahawa na ndizi zimepandwa pamoja. Mimea hiyo ni muhimu kwani pamoja na kurutubisha ardhi pia hutumia hewa ukaa na kupunguza joto duniani. PICHA: FAUSTINE FELICIANE.

16Nov 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
Changamoto ya mabadiliko ya tabianchi inawapa wanasayansi na wanadamu jukumu la kutafuta majawabu ili kuifanya dunia kuendelea kuwahifadhi watu, wanyama na viumbe wengine. Mojawapo ya maeneo...

Madaktari wakirekebisha mguu wenye kifundo. PICHA: TIGO

16Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa hii si nzuri masikioni mwa Salma Hajj (29) mkazi wa Buza Jijini Dar es Salaam, ambaye miezi 10 iliyopita alijifungua mtoto akiwa na tatizo hilo ambalo kisayansi linaelezwa kuwa linatokea hata...

Mkuu wa Wilaya Musoma, Dk. Vincent Anney, akimwaga mafuta ya taa kuteketeza nyavu haramu eneo la Bwai Kumsoma. PICHA: SABATO KASIKA.

16Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Mahali hapa ni Wilaya ya Musoma na hasa upande wa jimbo la Musoma Vijijini ambalo linatajwa kuwa na fursa nyingi za kiuchumi na kijamii, kwa vile lina sifa zote za kiuchumi zinazofanikisha na...

NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), Christophe Bazivamo, picha mtandao

16Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Novatus Makunga, ARUSHA Bazivamo alitoa kauli hiyo jana mjini hapa wakati akifungua wiki ya mradi wa kuunganisha wafanyabiashara wadogo mipakani na maendeleo katika Afrika ya Mashariki (IIDEA...
16Nov 2019
Allan lsack
Nipashe
Mwenyekiti wa Tamida, Sammy Mollel, alitoa rai hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Alisema chama hicho, kinaunga mkono maelekezo ya serikali yaliyotolewa na Waziri...
16Nov 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale, Mahmoud Thabit Kombo, aliyasema hayo katika mdahalo wa maendeleo endelevu ya utalii na nafasi ya uongozi kwa vijana. Alieleza kuwa ikiwa vijana...

NAIBU Waziri wa Biashara na Viwanda, Hassan Khamis Hafidh, picha mtandao

16Nov 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Aliyasema hayo ofisini kwake Mjini Zanzibar wakati akizungumza na waandishi wa habari jana. Alieleza kuwa mchango wa wafanyabiashara Zanzibar, umekuwa mkubwa kwani uwepo wao umewawezesha wananchi...
16Nov 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Tayari baadhi ya wanachama na mashabiki wa Simba wameanza kumnyooshea kidole cha shahada Kocha Mkuu, Mbelgiji Patrick Aussems si tu kutokana na matokeo hafifu ya siku za karibuni, bali wanaonekana...

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, picha mtandao

16Nov 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe
ya raia wake. Halikadhalika, katika sekta ya elimu, suala la takwimu lipo na linapewa msisitizo na hii imepelekea hata katika Idara ya Elimu - Msingi na Sekondari kuwapo na Maofisa Elimu Vifaa na...
16Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katibu huyo ameyasema hayo hapo jana wakati akiiaga na kuikabidhi bendera ya Taifa timu hiyo wakati ikielekea Tanzania Bara katika michuano hiyo Cecafa ambapo Zanzibar Queens itafungua dimba leo...
16Nov 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Bakari Shime. Akizungumza na Nipashe jana, Shime alisema kikosi hicho kipo vizuri kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Chamazi na kueleza amewapa mazoezi ya kutosha. "Maandalizi kwa...
16Nov 2019
Mhariri
Nipashe
Na wakati huu Ligi Kuu Bara ikiwa mapumzikoni kupisha kalenda ya mechi za kimataifa, tayari klabu mbalimbali zimeanza kuanika mikakati yao ya usajili kuelekea dirisha hilo mwezi ujao. Hata hivyo,...
15Nov 2019
Dotto Lameck
Nipashe
Muragili amesema hayo katika kikao cha baraza la madiwani wilayani hapo baada ya kupata nafasi ya kuzungumza.”Napenda kuipongeza halmashauri yetu kwa ukusanyaji huu wa mapato tuna kwenda vizuri...

Aggrey Mwanri

15Nov 2019
Dotto Lameck
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari, mwanri amesema kuwa mbio hizo zitafanyika Novemba 30, mwaka huu huku zikiambatana na zoezi la upandaji miti na kusafisha mazingira ili kuleta dhana halisi ya Green...

Dar es Salaam

15Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kampuni ya Mawasiliano ya Abel & Fernandes imeungana na Kampuni ya  Afya ya AAR na wadau wengine kwa lengo la kushirikiana na serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo ambao umeelezwa...
15Nov 2019
Focas Nicas
Nipashe
Chama ameingia katika mjadala mzito kupitia mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kinachotafuna kiwango chake kwa sasa ukilinganisha na ubora wa hali ya juu aliokuwa nao msimu...
15Nov 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Shime alisema amejipanga vizuri kuhakikisha anapata matokeo mazuri huku akiwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani."Tutashuka uwanjani tukiwa na tahadhari...
15Nov 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Mkwasa, alisema ameshaanza kuufanyia kazi mchakato huo na atatoa tathimini ya wachezaji wanaopaswa kuongezwa na kuachwa kwenye kikosi hicho kwa ajili ya kuanza mchakato...

Pages