NDANI YA NIPASHE LEO

20Oct 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Usafi wa mazingira ni muhimu sana ili kuhakikisha kuwa afya inazingatiwa na kuzuia uwezekano wa binadamu kukabiliana na athari za taka. Miongoni mwa taka zinazoweza kusababisha matatizo ya afya...
20Oct 2016
Chauya Adamu
Nipashe
Kwamba kabla na miaka michache baada ya uhuru, inakadiriwa ni asilimia 10 tu ya Watanzania ndiyo waliokuwa na elimu. Kwa maana hiyo, asilimia 90 hawakuwa na elimu. Baada ya uhuru Mwalimu alikuja...

MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema.

20Oct 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Wawili hao walipishana kauli na kusababisha vurugu wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto jijini hapa juzi. Akizungumza na Nipashe jana...
19Oct 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Msofe na Lupogo wanadaiwa kujipatia Sh. milioni nane zilizokuwa zimetolewa kwa ajili ya mradi wa usambazaji wa maji. Msofe, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Daraja Mbili na mwenzake, walifikishwa...
19Oct 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Pia nchi ya tatu kwa utoaji wa mikopo hiyo kati ya nchi hizo zilizofanyiwa utafiti ni Kenya, ikifuatiwa na Ghana, Mauritius, Uganda, Namibia, Nigeria South Afrika, Botswana, Zimbabwe, Ivory Coast,...
19Oct 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Wenye majina yasiyo yao, walioazima vyeti kukiona......
Taarifa ambazo Nipashe ilizipata jana kupitia vyanzo vyake mbalimbali na baadye kuthibitishwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), ni kwamba sasa kuna mbinu nyingine kali ya uhakiki wa vyeti vya...

Freeman Mbowe.

19Oct 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mahakama hiyo imesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilifuata taratibu zote kumwondoa mlalamikaji katika jengo hilo na kwamba inashikilia mali zilizotolewa kihalali hadi atakapolipa kodi ya Sh....
19Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Magufuli ametengua uteuzi wa Mkumbo kuanzia jana. "Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga...

KIPA Juma Kaseja.

19Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kaseja hajashiriki programu yoyote ya Mbeya City kwa takriban wiki tatu sasa kufuatia ruhusa ya kwenda kuichezea timu ya Taifa ya soka la Ufukweni katika mechi dhidi ya Ivory Coast mjini Abidjan,...

Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas.

19Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Simba imemsajili mchezaji huyo msimu huu, lakini imeshindwa kuanza kumtumia katika mechi za mashindano kutokana na klabu aliyotokea, FC Renaissance kuweka ngumu. Klabu hiyo ya DRC inadai bado ina...
19Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yanga inayoingia kwenye mchezo huo bila wachezaji wake watatu, kipa Ally Mustafa ‘Barthez’, beki Juma Abdul majeruhi na mshambuliaji Malimi Busungu mwenye matatizo ya kifamilia – inahitaji ushindi...

Shizza Kichuya.

19Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
-Atangazwa mchezaji bora wa Septemba Ligi Kuu Bara, Chippa United ya Afrika Kusini sasa yamtaka baada ya...
Wakala wa wachezaji, Rodgers Mathaba, aliliambia Nipashe kwa simu jana kuwa atatua nchini baadaye mwezi huu ili kuzungumza na Simba mpango wa kumpeleka Kichuya klabu ya Chippa United FC inayoshiriki...
19Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Huku giza likitanda kwa wanaoendelea na masomo baada ya baadhi ya vyuo kusitisha usajili wao kusubiri hatima ya mikopo yao. Katika mwaka wa masomo uliopita, bodi ilitoa mikopo ya Sh. bilioni 459...
19Oct 2016
Woinde Shizza
Nipashe
Tukio hilo lilijiri mbele ya hadhara, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la hospitali ya mama na mtoto inayojengwa eneo la Buruka, nje kidogo ya jiji la Arusha. Vurugu hizo ziliibuka...

Makamu wa Rais mstaafu, kwenye awamu ya nne, Dk. Mohammed Gharib Bilal.

19Oct 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Leo hii, tunawaletea sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano hayo, endelea kufuatilia. SWALI: Ulisema mwaka 2000 ndani ya CCM, kulikuwa na makundi kati ya watu wa Dk. Salmini na wa Dk. Amani...

Hamad Rashid (aliyesimama), mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini. PICHA. MTANDAO

19Oct 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Anasema jambo la msingi alilojifunza kutoka kwa Hayati Baba wa Taifa ni uzalendo ambapo hadi sasa hakuna rais aliyemfikia Mwalimu Nyerere kutokana na uzalendo wake kwani hakuwahi kuwa na kashfa...
19Oct 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Na pamoja na mambo mengine, zililenga kuhamasisha uzalendo, maendeleo, umoja, mshikamamo na kudumisha amani. Wimbo huu unaweka wazi maana halisi na malengo ya Mwenge. “Tumeamua kuwasha Mwenge,...
19Oct 2016
Mtapa Wilson
Nipashe
Tuliona katika sehemu ya kwanza kuwa, mbali na uasisi wa CUF, pia alikuwa kiongozi wa kwanza wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, kwenye Bunge la Kwanza la vyama vingi, baada ya kurejeshwa kwa mfumo...
19Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa zinadai kuwa wavuvi hao wameamua kupuuza amri ya serikali ya kusitishwa kwa mwaka mmoja shughuli hizo, wakitaka kukabiliana na hali ngumu ya kipato na makali ya maisha. Uchunguzi wa...
19Oct 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Wito huo ulitolewa na diwani wa kata hiyo, Yona Kusaja, wakati akizungumza na wananchi waliohudhuria mazishi ya aliyekuwa mfanyakazi wa ITV/Radio One, Christopher Magola, mjini hapa juzi. Alisema...

Pages