Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita akifurajia na wananchi baada ya kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa kupeka maji ya ziwa Victoria kwa wakazi wa mtaa wa mtakuja kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama.
PICHA: SHABAN NJIA
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita akishuhuduiwa utiaji Saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji wa ziwa vitoria wa kupeleka maji mtaa wa mtakuja kata ya Nyahanga.
PICHA: SHABAN NJIA