NDANI YA NIPASHE LEO

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe.

27May 2018
Ashton Balaigwa
Nipashe
Dk. Kebwe alitoa agizo hilo  juzi katika kijiji hicho wilayani Gairo wakati wa ziara yake  ya kutembelea na kuhimiza miradi ya maendeleo katika wilaya. Akiwa kijijini hapo,...
26May 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale, imetiliana saini mikataba ya ukarabati huo na kampuni mbili tafauti.Magofu hayo yapo eneo la  Bi hole na Mwinyi mkuu yaliyopo mkoa wa Kusini Unguja....

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi,  Ayoub Mohammed  Mahmuod.

26May 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza katika sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kampeni ya Mimi na Wewe iliyokwenda sambamba na chakula cha futari kwa watu mbali mbali, alisema  hatowapa nafasi wala kuwavumilia wale...

MKUU wa mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge.

26May 2018
Ibrahim Joseph
Nipashe
Alitoa kauli hiyo juzi wakati kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dodoma na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa eneo la Ihumwa Jijini hapa.Dk. Mahenge alisema kuna baadhi ya...

WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa  na Serikali za  Mitaa (TAMISEMI),  Selemani Jafo.

26May 2018
Paul Mabeja
Nipashe
Aidha,  ametoa muda wa mwezi mmoja kukamilishwa kwa ujenzi wa kituo cha afya cha Hombolo jijini  hapa ambacho kimeonekana kuwa ujenzi wake upo nyuma ikilinganishwa na vituo vingine 208...

NAIBU   Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji,  Emmanuel Kalobelo.

26May 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Kalobelo aliyasema hayo jana, baada ya kutembelea miradi inayotekelezwa na bodi hizo na kisha kufanya mazungumzo na wadau wanaotoa huduma ya majisafi na salama kwa wakazi wa wilaya hizo.“Sera...

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Ajira,Vijana na Watu wenye Ulemavu,  Jenista Mhagama.

26May 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa jijini hapa na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Ajira,Vijana na Watu wenye Ulemavu,  Jenista Mhagama wakati akifungua warsha ya siku mbili...

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID), Andrew Karas.

26May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID), Andrew Karas.“Ninyi ni jicho letu ili migogoro ya ardhi na suala la mwanamke kumiliki ardhi...

Mkuu wa Wilaya ya Same, mkoa wa Kilimanjaro, Rosemary Staki (mwenye kofia na gauni la njano), akizungumza jana na baadhi ya wananchi waliookolewa kutokana na kuzungukwa na maji baada ya Mto Pangani kujaa. PICHA: GODFREY MUSHI

26May 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Taarifa iliyothibitishwa na Mkuu wa Wilaya,  Rosemary Staki imeeleza kuwa  maji hayo kwa sasa yanaendelea kusambaa na yamefika katika baadhi ya maeneo umbali wa zaidi ya kilomita tatu....
26May 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Rufani hizo zilikatwa kupinga hukumu ya miezi sita jela iliyotolewa Januari 30, mwaka huu, na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Nestory Barro, baada ya watuhumiwa 25 kati ya 61 wa kesi...
26May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shangazi wa marehemu,  Veronica Makonda,  amesimulia tukio hilo na kudai kwua  Rosemary alikuwa na ugomvi wa mara kwa mara na mzazi mwenzake. Alisema Rosemary alikuwa na tabia ya...
26May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanadai waliweka fedha hizo kama amana katika benki hiyo, baada ya kujiunga na Chama cha Nuru Saccos.Kwa nyakati tofauti juzi, kiongozi wa wakulima hao,  Ally Mkindi akizungumza kwa niaba ya...
26May 2018
Sanula Athanas
Nipashe
Vilevile, imeweka wazi kwamba mkataba huo wenye mikataba mingine midogo 42 ndani yake, una utata, hivyo ni lazima ufanyiwe rejea kwa manufaa ya taifa.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Adelardus...
26May 2018
Barnabas Maro
Nipashe
      Methali hii hutumiwa kumpigia mfano mtu aliyekuwa mnyonge na hatimaye kuishia kufanikiwa. Yatukumbusha umuhimu wa upole katika utendaji wa mambo.     ...

Rais John Magufuli akionyeshwa ramani ya hospitali mpya ya wilaya ya Kilolo inayojengwa.

26May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni siku ambayo Rais John Magufuli alifanya ziara wilayani humo na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo.Inakuwa siku ya kihistoria kwa sababu tangu wilaya hiyo kuanzishwa rasmi...
26May 2018
Mhariri
Nipashe
Michezo hiyo ya mwisho inafanyika huku tayari bingwa wa msimu huu akiwa ameshapatikana ambapo Simba ilitangazwa na kukabidhiwa rasmi ubingwa wao kwenye mchezo wa Jumamosi iliyopita dhidi ya Kagera...
26May 2018
Kelvin Mwita
Nipashe
Wako ambao hufanya kazi kwa viwango vya juu zaidi kuliko wengine, wako wanaojituma zaidi kuliko wengine lakini pia wako wanaoweza kufanya kazi zaidi au kwa muda mrefu zaidi ya wengine.Utafiti...

Kocha wa Singida United, Hans van der Pluijm.

26May 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Hivi karibun i baadhi ya vyombo vya habari vilitangaza Pluijm kuwa mbioni kujiunga na Azam FC na kuachana na Singida United.Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, pamoja na taarifa hizo kuenea,...

Kulwa Limbu kutoka mgodi wa Nholi , akionyesha kipimo cha zebaki kinachouzwa kwa Sh. 35,000 kinachopimwa kwa bomba la sindano, kina ujazo wa ‘cc’ 4 anachoeleza kuwa kinalingana na kifuniko cha soda na pia kijiko cha chai. Mezani kwenye trei la majalada ni kichupa chenye akiba ya zebaki.

26May 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Zebaki ambayo imethibitishwa na watalaam kuwa ni hatari kwa afya na mazingira, imesambaa kila kona kwenye karibu mikoa 22 ya Tanzania Bara kunakopatikana dhahabu. Japo hali ni mbaya zaidi Geita,...

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo.

26May 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo, alitoa onyo hilo jana katika Jukwaa la Fursa za Kibiashara mkoani hapa, lililoandaliwa na Shirika la Magazeti ya Serikali (...

Pages