NDANI YA NIPASHE LEO

29Mar 2017
Peter Mkwavila
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Nipashe jana, Mwenyeviti wa mtaa ya Muugano, Athanas Sajilo, na wa mtaa wa Mbalawala, Charles Nghambi, alisema kumekuwapo na walanguzi wakipita shambani kuwahadaa...

MSAJILI wa Hazina, Dk. Oswald Mashindano.

29Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo aliitoa katika kikao cha kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), cha kupokea, kujadili na kuchambua taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji na utendaji wa Mamlaka ya...

Naibu katibu mkuu wa chama hicho Zanzibar Vuai Ali Vuai.

29Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Kwa kuwa Ofisi Kuu ya Chama hicho ipo katika eneo la Barabara kuu inayotoka Micheza kuelekea Darajani,waendashaji wa vyombo vya usafiri barabarani na wale waenda kwa miguu katika eneo hilo walikuwa...
29Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwandishi wa makala haya ameshawishika kuurejea mjadala mzima wa katiba mpya kwa maslahi ya taifa letu la Tanzania hasa kwa yale yanayojiri sasa ambayo ni kiashiria cha kuwapo kwa katiba mbaya...

aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye.

29Mar 2017
Michael Eneza
Nipashe
Alisema kuwa kujiuzulu kwake kwa shinikizo la Bunge ni ajali ya kisiasa na kwa maana hiyo akamhitaji swahiba wake huyo wa kisiasa kuielewa hali hiyo. Ndiyo baadhi wanavyomwambia Nape, sasa. Dhana...

Rais Donald Trump .

29Mar 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Trump na chama chake cha Republican walionekana tangu mwanzo wakipania kuufuta kabisa mpango huo maarufu kama ObamaCare, lakini maandamano ya wananchi kutaka mpango huo uendelee yamekuwa yakiendelea...
29Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wapo wanaosema kuwa demokrasia ilistawi zaidi wakati wa utawala wa awamu ya nne kulinganisha na hali ilivyo sasa kwenye awamu hii ya tano, wakimaanisha kuwa hivi sasa demokrasia inaminywa minywa...

Balozi Adadi Rajabu.

28Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Balozi Rajabu ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, alitoa ushauri huo jana katika kikao cha kazi cha mwaka cha maofisa waandamizi wa polisi, makamanda wa mikoa...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angela Kairuki.

28Mar 2017
Furaha Eliab
Nipashe
Ahadi hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angela Kairuki jana akiwa katika ziara ya siku mbili mkoani Njombe, akifuatana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
28Mar 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Kwa mujibu wa ratiba ya Bunge, leo kutakuwa na mkutano wa wabunge wote bungeni kupokea mapendekezo hayo ya bajeti ijayo ya serikali ambayo Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ameshaweka...

Nay wa Mitego.

28Mar 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Nay wa Mitego alikamatwa juzi na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za uchochezi, kutokana mashairi ya kibao chake 'Wapo' kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii, lakini Waziri Mwakyembe ameamuru...
28Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kamati haikufafanua aina ya hatua ambazo zinapaswa kuchukuliwa kwa maofisa hao, lakini umakini uliopo katika serikali ya awamu ya tano unaashiria upo uwezekano mkubwa kwa maofisa hao kutumbuliwa....
28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tatizo hilo linalofahamika kama nocturia, mara nyingi huwaathiri watu walio na umri wa zaidi ya miaka 60,ambao hukabiliwa na tatizo la kupata usingizi hata kuweza kuathiri maisha ya mtu. Uchunguzi...
28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Utafiti uliofanywa na Wanasaikolojia wamegundua kwamba ni dakika chache sana - hasa kwa mtu mwenye umri wa kati ya miaka 18 na 26. Utulivu ni sifuli. Kutokana na utafiti huo, ilibainika kuwa...

Baadhi ya wataalam kutoka BoT wakiwaonyesha viziwi namna ya kutumia taa ya mwanga wa rangi kutambua noti bandia.

28Mar 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe
Miongoni mwa elimu wanayodai kuikosa ambayo imekuwa ikisababisha wenzao kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria, ni ile ya utambuzi wa noti halisi na bandia. Kufuatia changamoto hiyo, kikundi...

Sam Kodo.

28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"Hebu fikiria kuhusu hilo. Kama ukishindwa , angalau unakua umejaribu. Kuna watu wana mawazo fulani, lakini kamwe hawathubutu kuyatekeleza. Hata kama utashindwa, tayari unakuwa umepiga hatua...
28Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Kuna makala niliyoandika kuwasahihisha waandishi wanaomwandika Edward Lowassa kuwa Waziri Mkuu ‘mstaafu.’ Niliandika kuwa yeye hakustaafu bali alijiuzulu; kwamba iandikwe Waziri Mkuu aliyejiuzulu...
28Mar 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Baadhi yao wanatoa taarifa za uwongo, na hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Makala yangu ya awali niliuliza Wasomaji ni wapi tulikosewa na Serikali na baadaye Bunge katika kupitisha sheria ya...
28Mar 2017
Idda Mushi
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Atashasta Nditiye, alisema mikataba imeonekana kutokuwa wazi kuhusiana na mambo mbalimbali yaliyoelezwa na uongozi wa kampuni hiyo. Akizungumza baada ya kamati...

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime.

28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kagera Sugar inatarajia kuwakaribisha Simba katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Maxime aliliambia gazeti hili jana kuwa lengo la...

Pages