Sikuamini naweza kuolewa na miaka 43 kisha kupata mtoto

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 08:53 PM Dec 02 2024
Ndoa
Picha: Mtandao
Ndoa

Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na kuishi maisha mazuri ya upendo, furaha, kujaliana na kuthaminiana.

Vigumu kusema kuna mwanamke asiyekuwa na malengo hayo ingawa kuna wachache ambao wanaweza kuwa kinyume na hilo kutokana na sababu mbalimbali ambazo muda mwingine zinakuwa nje ya uwezo wa wao au sababu za kimazingira. 

Jina langu ni Anna, kwa sasa nina miaka 46, naishi Dar es Salaam, Tanzania, niliolewa miaka mitatu iliyopita, yaani nikiwa na umri wa miaka 43 jambo ambalo mwenyewe sikuamini hata familia yangu tayari ilikuwa imeshanikatia tamaa. 

Siri ya kuolewa kwangu katika umri huo ni Dk Bokko ambaye alinitumia dawa zake baada ya kuwasiliana naye kwa namba hizi +255618536050 ambazo nilizitoa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. 

Hapo awali nikuwa na mahusiano na kaka mmoja ambaye tulidumu kwa miaka saba nikitarajia atakuja kunioa lakini haikuwa hivyo, tuliachana kwa ugomvi mkubwa hadi nikasema sitokuja kupenda tena, nitaishi hivyo hivyo. 

Nyumbani kwetu kila mara mama alikuwa ananiuliza ni lini nitaolewa nimletee mjukuu, sikuwa na jibu la maana kuwapa zaidi ya kusema muda sio mrefu. 

Mama alisema; tazama wasichana wenzako wote wa jika lako mliozaliwa pamoja wameolewa umebaki wewe pekee, fanya jambo mwanangu. 

Baada ya kutumia dawa ya Dk Bokko ndipo nilipoondoa aibu yangu ya miaka mingi, alikuja kijana mmoja mtanashati ambaye umri wake ni miaka 44 kwa wakati huo na kusema yupo tayari kuja nyumbani kwetu kujitambulisha na kunioa. 

Kweli nilimleta nyumbani akawaona wazazi wangu, na mimi akanipeleka kwao kisha tukaanza mipango ya kufunga ndoa ambayo naweza kusema ilikuwa furaha sana siku ya harusi yetu. 

Hata hivyo, bado nilikuwa na wasiwasi kama bado naweza kupata mtoto kutokana umri wangu ulikuwa umesonga sana, lakini nashuruku kwa msaada wa Dk. Bokko tena niliweza kujaliwa mtoto wa kike.

Kwa hakika naweza kusema au kuwatia moyo wanawake ambao wapo kwenye umri wa miaka 30 - 35 ambao wanahangaika kutafuta wanaume wa kuwaoa, wasikate tamaa na kuona umri umesonga, bali watumie njia niliyotumia mimi hapa.