Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc, Latifa Salum (kushoto), akimkabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Morogoro, Sophia Sanga, msaada kwa wagonjwa kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Picha: Mpigapicha Wetu

Picha:Mpigapicha Wetu
Wakifurahi jambo baada ya kupokea msaada huo.
Picha: Mpigapicha Wetu