NDANI YA NIPASHE LEO

17Feb 2017
Said Hamdani
Nipashe
Sukari hiyo kilo 15,546 iliyoingizwa mkoani humu kupitia bandari bubu ya mwambao wa Bahari ya Hindi, iligawiwa kwa taasisi za serikali ikiwamo Magereza na Elimu. Kadhalika, sukari hiyo ambayo...

waziri wa elimu, profesa joyce ndalichako.

17Feb 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Naibu Mkurugenzi Taaluma wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dk. Kassim Nihuka, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Alisema mfumo wa elimu nchini...
17Feb 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Akizungumza jana eneo la tukio, mama mzazi wa mtoto huyo, Stella Hamis alisema juzi saa 2:00 asubuhi, alimfokea mtoto wake huyo baada ya kumuona nyumbani badala ya kwenda shule. Stella alisema...
17Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Handeni na Kilindi, Arnold Kileo. Waliopewa adhabu hiyo ni Yakobo Lekai (32), Lemoi Lisori (24) na Daud Massanja (28). Hakimu Kileo...
17Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Ukiangazia kwa mfano ukatili wa kijinsia wa mimba za utotoni, utakuta Tanzania iko kwenye kundi la nchi 10 zilizo na kiwango cha juu cha mimba za utotoni. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (...
17Feb 2017
Mhariri
Nipashe
Changamoto hiyo inachangiwa zaidi na deni kubwa ambalo serikali imekuwa ikidaiwa na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa kipindi kirefu. Kwa namna moja au nyingine, uhaba wa dawa umechangia kwa kiwango...
17Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alitaja dawa hiyo juzi jioni wakati akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa mjini Kibaya, wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Waziri Mkuu...

Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda.

17Feb 2017
Romana Mallya
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, alisema jana kuwa polisi hao waliondolewa Kituo cha Polisi Kati jana mchana na kupelekwa ofisi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Dawa za...
17Feb 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Chemicotex kinazalisha bidhaa mbalimbali zikiwamo mafuta ya kupikia, dawa ya mswaki, vipodozi na juisi. Kadhalika, serikali imewataka wawekezaji kuhakikisha wanafuata sheria na kanuni za mazingira...
17Feb 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Hatua hiyo ilitangazwa jana na Waziri wa Afya, Mahmoud Thabit Kombo, wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Mpendae kwenye Baraza la Wawakilishi. Mwakilishi huyo, Mohammed Said Dimwa, alitaka kujua...
17Feb 2017
Romana Mallya
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro, aliwaeleza waandishi wa habari jana kuwa muda wowote kuanzia sasa, watuhumiwa hao 24 watafikishwa mahakamani ili kujibu...

Kamishna wa jeshi hilo, Hamdani Omar Makame.

17Feb 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Kamishna wa jeshi hilo, Hamdani Omar Makame, alisema watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayowakabili baada ya upelelezi kukamilika. Kamanda Hamdani alisema watuhumiwa hao...
17Feb 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Chadema imesema wanachama hao wamepandishwa kizimbani katika jumla ya kesi 78 huku wengi wao wakinyimwa dhamana na wale waliopatikana na hatia, walipewa adhabu za vifungo bila ya kupewa fursa ya...
16Feb 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mkoani Dodoma, watu 168 wamekamatwa na Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Dodoma kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, mirungi na cocaine. Mkuu wa wilaya hiyo, Christina Mndeme, alisema jana...
16Feb 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Taarifa ya Diamond ambaye jina lake halisi ni Nassib Abdul, kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram ilisema alifika kituoni hapo kuitikia wito wa askari wa usalama barabarani...
16Feb 2017
Idda Mushi
Nipashe
Madawati hayo yaliyotengenezwa na mkazi wa mkoani Njombe. Aidha, wamehoji sababu za madawati hayo licha ya kukataliwa mara kwa mara, lakini wamekuwa wakilazimishwa kuyapokea. Diwani wa Msingizi,...

moja ya matukio ya kikatili aliyofanyiwa mtoto wa kike.

16Feb 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza katika mdahalo wa kujadili vitendo vya ukatili wa kijinsia ulioandaliwa na Kituo cha Msaada wa Kisheria(WLAC), Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Fortunata Mtobi alisema kuingiza...
16Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Hata hivyo, baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba vijana walio katika umri wa kati ya miaka 25 hadi 34 na hasa wanawake wanapendelea zaidi kuwa na miili myembamba ama ya ‘Ki-miss’ na hasa kama wanapiga...
16Feb 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Hatua hiyo imekuja baada ya kubainika kuwa kuna baadhi ya wawekezaji wasio waaminifu ambao wanasajili kiwanda kimoja, lakini katika kiwanda hicho wanazalisha bidhaa zaidi ya moja. Agizo hilo...
16Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Simba leo inavaana na African Sports kwenye raundi ya sita ya michuano hiyo. mchezo huo awali ulikuwa umepangwa kuchezwa Machi Mosi lakini Shirikisho la soka nchini (TFF) uliurejesha nyuma....

Pages