NDANI YA NIPASHE LEO

18Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alisema Serikali itapiga marufuku matumizi ya pakiti za plastiki kufungashiwa pombe kali maarufu kwa jina la ‘viroba' kuanzia Machi mosi. Waziri Mkuu alitoa taarifa hiyo juzi wakati...
18Feb 2017
Samson Chacha
Nipashe
Hakimu huyo, Swalala Mathayo, alifikishwa mahakamani hapo pamoja na karani wake, Charles Masatu, wote wakituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh. 200,000 kutoka kwa ndugu wa mtuhumiwa, Magdalena...
18Feb 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Makala hii ya ABDUL MITUMBA, inaeleza mikakati mipya ya uongozi huo katika kukabili changamoto hiyo na nyingine zilizopo bandarini kwa sasa. UKIKUTANA na viongozi wapya wa Tapso, utawasikia...
18Feb 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Mwezi uliopita niliandika makala niliyoipa jina la ‘Ushabiki’ nikieleza jinsi waandishi wa habari za michezo wanavyozishabikia Simba na Yanga kwa kuandika kishabiki zaidi kuliko uhalisi (hali ya...
18Feb 2017
Mary Mosha
Nipashe
Baadhi ya wananchi ambao maeneo yao yanapakana na hifadhi hiyo, wanadaiwa kushirikiana na viongozi wa vijiji na vitongoji kuvamia maeneo tengefu kinyume cha sheria na kujaribu kubadili ramani za...
18Feb 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Nilianza kuwaza kivingine, nilijiona ndani ya dimbwi la raha kuu. Nilijikuta niko mbingu ya saba.” Ni maelezo ya Bob J, si jina lake halisi, anapokutana na Nipashe kwenye soko la samaki ya Msasani...
18Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***TFF yapiga marufuku mabango ya kukashifu Serikali, viongozi kwenye mchezo wa leo....
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limewatahadharisha mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kutobeba mabango ya kukashifu Serikali wala kiongozi yeyote wa nchi. Inahofiwa mashabiki wa mabingwa hao...

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo.

18Feb 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Lengo la mpango huo ni kuhakikisha zinadhibiti uingizwaji wa dawa zisizo na ubora kwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Asilimia 80 ya dawa zinazotumika nchini zinaagizwa nje na hugharimu Dola za...
17Feb 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Mashabiki wa Yanga ambayo Manji ni Mwenyekiti wake, jana waligeuza viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama uwanja wa sinema baada ya kusikika wakibishana na waandishi wa habari waliokuwa...
17Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Tuliona sababu mbalimbali zinazomfanya mtu aishi kwa kukopa, ikiwa ni pamoja na mtu kutojiwekea akiba kulingana na kipato chake anachokipata, iwe ni kupitia biashara zake au mshahara wake. Lakini...
17Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mkakati huo unaenda mbali zaidi ukilenga kuziboresha sheria zilizopo, ili kukuza biashara ndani ya Jumuiya, lengo ni kuvutia wawekezaji wapya, watakaozinufaisha nchi wanachama. Katika kikosi kazi...
17Feb 2017
Denis Maringo
Nipashe
Mauziano ya bidhaa ama huduma ni jambo linalofanyika kila wakati, takribani kila mahali. Utaratibu huu watu ndani ya jamii wanalazimika kutegemeana kwa sababu ya uhitaji kwa vile mtu fulani...
17Feb 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Ni elimu inayotolewa kwa wanafunzi wa shule tisa za msingi wilayani humo na imewasaidia wananchi wa wilaya hiyo, kulima viazi vitamu, kwani kilimo hicho kinadaiwa kilikuwa kimeachwa nyuma sana.  ...
17Feb 2017
Yasmine Protace
Nipashe
** Yatarajiwa kuwa ‘jembe’ la uchumi
Mkuranga ni moja ya wilaya saba zilizopo katika mkoa wa Pwani na imepakana na Dar es Salaam na wilaya ambayo magari yaendayo mikoa ya Kusini yanapita. Zao kuu la Mkuranga ni korosho. Mbali na...

Kocha wa Azam FC ,Aristica Cioaba.

17Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Cioaba alisaini mwezi uliopita kuifundisha Azam lakini alishindwa kuanza kazi kutokana na kuchelewa kupata kibali cha kufanya kazi nchini. Kocha huyo juzi usiku aliiongoza kwa mara ya kwanza timu...
17Feb 2017
Romana Mallya
Nipashe
Huku sampuli ambazo zitaweza kuthibitisha kama mlimbwende huyo anatumia dawa za kulevya, zikikabidhiwa ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya uchunguzi. Kamanda wa kanda hiyo, Kamishna wa...
17Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Aendeleza kasi yake ya kufunga akiwa amefunga kwenye michezo mitatu mfululizo...
Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Mavugo alifunga bao hilo katika dakika ya 57 akiunganisha mpira mrefu ulioguswa na Ibrahim Ajib. Mshambuliaji huyo ameendeleza kasi yake ya...
17Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Yanga itacheza tena na timu hiyo ya Comoro kesho kwenye Uwanja wa taifa ukiwa ni mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya klabu bingwa Afrika. Akizungumza na Nipashe jana, Lwandamina, alisema kuwa...
17Feb 2017
Mary Mosha
Nipashe
Amri ya kukamatwa kwa mfanyabiashara huyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki, baada ya kupokea malalamiko ya wafanyabiashara wanaodai kutapeliwa. Mkuu huyo wa mkoa alipata...
17Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho juzi, Waziri Mwijage aliwapongeza wamiliki wa kiwanda hicho kutoka Croatia kuwa uamuzi wao wa kuwekeza Tanzania unasaidia kukuza uchumi wa nchi....

Pages