Ulinzi katika miundombinu SGR uimarishwe ili kudhibiti uhalifu
Serikali tangu awamu ya tano, iliamua kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ikiwamo ya reli ya kisasa (SGR) ambayo hadi sasa treni zimeanza safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma.