Ufafanuzi Meli iliyozama Ziwa Victoria

By Vitus Audax , Nipashe Jumapili
Published at 06:17 PM May 19 2024
Meli ya MV.Clarias iliyozama Ziwa Victoria.

Meli ya MV.Clarias inayomilikiwa na serikali iliyokuwa kwenye maegesho ya Bandari ya Mwanza Kaskazini imepinduka na kutitia majini katika Ziwa Victoria huku chanzo cha kuzama kwake kikiwa bado hakijafahamika mara moja.