Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na serikali walihudhuria.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED