Duniani 2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024.
Madhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Nyamagana Tarehe 30 Juni, 2024 yakiongozwa na kauli Mbiu isemayo: "Wekeza Kwenye Kinga na Tiba Dhidi ya Dawa za Kulevya”
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED