Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, jijini Dodoma jana.
Picha: Ikulu
Sehemu ya wageni waalikwa wakati wa Mkutano Mkuu Maalum huo.
Picha: Ikulu
Baadhi ya wajumbe  kutoka mikoa mbalimbali wakiwa na mabango, wakishangilia baada ya kutajwa kwa jina la mgombea wa nafasi ya Makamu  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira,  katika mkutano mkuu huo.
Picha: Ibrahim Joseph
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba akiwasili kuhudhuria mkutano mkuu wa maalumu wa chama hicho.
Picha: Ibrahim Joseph
Baadhi ya wahamasishaji wa CCM wakiendesha baiskeli, wakilizunguka jengo la mikutano la Jakaya Kikwete, wakati wa mkutano huo.
Picha: Ibrahim Joseph
Sehemu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum.
Picha: Ikulu