NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

08Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
Mratibu wa pambano hilo, Jocktan Masasi alisema jana wakati wa kutambulisha pambano hilo kwamba mabondia wote wamesaini mkataba mbele ya mwanasheria tayari kuzipiga Februari 2, mwaka huu. Masasi...
08Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana, Ulimwengu alisema mazungumzo na klabu anayotaka kuhamia yamefikia pazuri na muda si mrefu wanaweza kumalizana. “Tumefikia pazuri, lakini bado kwa sasa siwezi kusema...
08Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
***Kundi lawa gumu, ahofia muziki wa Jang'ombe Boys ulioiua URA waliyotoka nayo sare...
Hadi sasa hakuna timu yenye uhakika wa nusu fainali katika kundi hilo, ikiwa URA inaweza kufikisha pointi saba za Simba na Jang’ombe Boys wanaweza kumaliza na pointi tisa. Simba itacheza mechi ya...
08Jan 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Tatizo hili linawatesa watu wengi, lakini hawajui wafanyeje ili waweze kuondokana nalo hasa linapokuwa chronic (sugu). Wengine huona ni kawaida, kumbe iko nguvu nyuma ya tatizo lolote lile. Yapo...
08Jan 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Kuungua kwa soko hilo kumesababisha hali ya kutoelewana kwa wakazi wa eneo hilo, kutokana na kwamba hiyo ni mara ya pili kukumbwa na tukio hilo katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Aprili,...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Bonaventura Mushongi.

08Jan 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Bonaventura Mushongi, alisema jana kuwa silaha hiyo pamoja na risasi 30, iliibwa kutoka kwa askari Jackson Shirima (23), mkazi wa Hifadhi ya Taifa ya Saadani, akiwa...
08Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Dk. Shein alisema hayo jana, baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Ofisi za Mtakwimu Mkuu wa Serikali, zinazojengwa Mazizini, Wilaya ya Mjini Unguja, ambazo zitagharimu Sh. bilioni 7.9....
08Jan 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Taarifa hiyo ilieleza kuwa katika wodi za taasisi hiyo, kuna zaidi ya wagonjwa 4,000 waliofikishwa kutokana na ajali mbalimbali zikiwamo za pikipiki, maarufu kama bodaboda, bajaji na magari....
08Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Kadhalika amesema serikali itahakikisha wanawake na watoto wanapatiwa haki zao kwa uhuru bila ubaguzi wala vitendo vya ukatili wa kijinsia. Samia aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati...
08Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa iliyotolewa jana na Ofisa Habari wa Magereza, Mrakibu Msaidizi wa Magereza (ASP) Lucas Mboje, inaonyesha kuwa katika mabadiliko hayo, baadhi ya vigogo wameondolewa kwenye nafasi zao na baadhi...

Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye.

08Jan 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Alisema ofisi hiyo iliyoko mjini Guangzhou katika mkutano...
08Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Wakizungumza na Nipashe jana wakati wakinunua vifaa vya shule katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam, walisema gharama za vifaa ni kubwa kulinganisha na hali ya kipato cha maisha ya mwananchi...
08Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana, majeruhi aliyenusurika katika shambulio hilo, Juma Said Dadi (23) alisema tukio hilo lilitokea Januari 3, mwaka huu. Alisema alikwenda nyumbani kwa Haji kumsaidia...
08Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Uchunguzi wa Nipashe katika maeneo maarufu ya uuzwaji wa pweza na supu yake jijini Dar es Salaam, unaonyesha kuwa kwa sasa, tofauti na vile ilivyozoeleka, kinadada na kinamama wamekuwa wakijumuika na...
08Jan 2017
Richard Makore
Nipashe Jumapili
Hali hiyo imebainika kutokana na mikakati ya kusaka ushindi iliyowekwa wazi na pande zote mbili, CCM ikisisitiza kuendeleza kampeni kali kuhakikisha kuwa inashinda katika maeneo yote yanayowaniwa...
01Jan 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Katika hali ambayo inaonyesha kuna jambo limejificha katika suala zima la ukusanyaji wa ushuru huo, mawakala hao wametoa kauli zinazotofautiana na waajiri wao, ambao ni Halmashauri ya Jiji la Dar es...
01Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
*Enzi ‘dili za kupiga hela’ basi tena, *Maaskofu Pengo, Mokiwa wanena
Katika kufuatilia kwake, Nipashe imebaini kuwa miongoni mwa yale yatakayokuwa gumzo ni pamoja na kupotea jumla kwa ‘dili za kupiga hela’, hivyo kuchangia kuwapo kwa ukata. Nipashe imebaini...
01Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ombi hilo limetolewa jana na Padri Paulo Mwalongo, kutoka Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), wakati wa ibada maalumu ya kuliombea amani taifa la Tanzania. Alisema waganga wa tiba asilia na...
01Jan 2017
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa wilaya hiyo, Salehe Mhando ilisema ugonjwa huo uligundulika tangu Desemba 9, mwaka jana na mmoja aliugua ugonjwa huo katika kata ya Kapalamsenga akiwa...
01Jan 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kwa hali ilivyo sasa, wananchi wanaishi katika makazi holela yasiyopimwa, na kuwakosesha fursa nyingi za kujipatia mikopo ya kuwaletea maendeleo.
Programu hiyo pia itawezesha kufanya mapitio na maboresho ya masuala ya kisera, kisheria na kitaasisi ili kuharakisha kasi ya urasimishaji wa sekta ya ardhi nchini. Licha ya kuboresha makazi...

Pages