NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

MBUNGE wa Newala Mjini (CCM), George Mkuchika

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuchika alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), wakati wa utawala wa awamu ya nne ya Jakaya Kikwete. Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, ambaye ndiye alikuwa...

Freeman Mbowe

06Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, alisema chombo hicho kimeundwa kwa mujibu wa katiba ya chama chao (Chadema). Alisema chombo...

MKUU wa mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa (aliyesimama)

06Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Agizo hilo alilitoa jana katika kikao cha wadau wa afya mkoani hapa, ambacho kilihudhuriwa na ujumbe kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), kilichokuwa na lengo la kujadili mlipuko huo. Gallawa...

Waziri wa Afya,Ummy Mwalimu

06Mar 2016
Nipashe Jumapili
Tanzania ikiwa ni mwanachama wa UN ambaye anakubaliana na maazimio hayo na kuna jitihada za moja kwa moja kupinga ukandamizaji na ukatili wa wanawake, bado zipo changamoto ambazo ni lazima...
06Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Hata hivyo mengi huhusisha sehemu ya chini yaani kibofu na mrija wa mkojo au urethra. Katika hali ya kawaida, wanawake wapo katika hatari zaidi ya kupata UTI kuliko wanaume. CHANZO CHA UTI Kwa...

Marehem Trasia Kagenzi

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Habari za uhakika zilizopatikana wilayani humo zilisema kuwa Kagenzi alifariki dunia jana kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando, Mwanza...

Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,Zitto Kabwe

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Naibu Katibu Mkuu, Msafiri Mtemelwa, Mustapha Akonaay (63) anakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu,Ulinzi na Usalama wa Chama. Ilisema Akonaay ana...

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (katikati), akijaribu kufunga bao.

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Timu yoyote ambayo ingeibuka na ushindi katika mchezo huo uliojaa kila aina ya ushindani, burudani na 'taaluma' kutoka kwa wachezaji wa pande zote mbili, ingekuwa kwenye nafasi nzuri kutwaa ubingwa...

BANDARI YA BAGAMOYO ITAKAVYOJENGWA

06Mar 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Kungekuwa na wawakilishi makini bungeni wa kuhoji maswali yafuatayo kuhusu mradi huo huenda serikali isingekuwa na majibu ya kutosheleza kutokana na hoja nyingi kutojibikika. Licha ya kwamba...
06Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
akajikuta anamaliza sigara pakiti 20 ndani ya wiki mbili! Tatizo hili linawatesa watu wengi lakini hawajui wafanyeje ili waweze kuondokana nalo hasa linapokuwa chronic (sugu). Wengine huona ni...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza

06Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
OCD Mapalala alikimbizwa hospitali baada ya tukio hilo, alipokuwa kwenye operesheni iliyowahusisha askari kutoka Makao Makuu ya Mkoa wa Pwani na wa Wilaya ya Mkuranga.Operesheni hiyo iliyoanza juzi...

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue

06Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Uchaguzi huo utakapofanyika na vyama hivyo kushinda na kuongoza Jiji, Ikulu imesema, hakutaathiri hata kidogo shughuli zake za kila siku hivyo haina mkono wake kwenye sarakasi za uchaguzi huo.Hayo...

Wachezaji wa Arsenal

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
The Gunners walilazimika kucheza sehemu kubwa ya kipindi cha pili wakiwa 10 uwanjani baada ya Francis Coquelin kuonyeshwa kadi nyekundu mwanzoni mwa kipindi hicho. Spurs wanaoshika nafasi ya pili...
06Mar 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
alilazimika kutengua uamuzi wake wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Taifa Aidha, katika hali ambayo inaonyesha baadhi ya mawaziri hawajasoma 'msahafu' wa Rais John Magufuli wa...

beki-chipukizi wa pembeni Msimbazi, Hassan Kessy .

28Feb 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
Pamoja na baadhi ya mashabiki wa Simba kutaka mchezaji huyo kutemwa kwa kosa hilo, klabua yake imefunga masikio na sasa imeamua kuanza mchakato wa kumwongezea mkataba. Rais wa Simba, Evans Aveva...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga.

28Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katika tukio hilo watu sita waliuawa, ambao ni majambazi watatu, polisi mmoja na raia wawili. Waziri Kitwanga alitangaza mkakati huo jana katika Kituo cha Polisi Kati, wakati wa mkutano na...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi,George Simbachawene.

28Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Simbachawene alitoa ahadi hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati aliposhiriki kufanya usafi katika soko hilo pamoja na kukagua mipaka yake. Usafi huo ni mwendelezo wa utekelezaji wa agizo la Rais...
28Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Miongoni mwa mambo hayo ni tatizo la muda mrefu la upatikanaji wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu; kwamba angelishughulikia ili waipate kwa urahisi na kukomeshwa kwa urasimu wa aina zote kwa Bodi...
28Feb 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Chini ya sera ya elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, serikali imefuta michango yote ya lazima kwa wazazi wa wanafunzi na matokeo yake idadi ya watoto walioanza shule mwaka huu imeweka rekodi...
28Feb 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Katika kufanikisha kazi hiyo, aliwakaribisha wanaharakati wanaopambana na ukatili wa kijinsia ofisini kwake ili kubadilishana mawazo ya jinsi gani tatizo hilo linaweza kumalizwa. Ahadi hiyo ya Dk...

Pages