Wajumbe zaidi ya 600 wasafiri kwa SGR kwenda Dodoma

By Frank Monyo , Nipashe
Published at 03:25 PM Jan 16 2025
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa.

Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) unaotarajiwa kufanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma, kuanzia kesho Januari 1, leo Januar 16, 2025 Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesafirisha Wajumbe zaidi za 600 pamoja na vikundi vya wasanii mbalimbali ambao wanaotarajiwa kushiriki mkutano huo.