JK safarini kuelekea Dodoma kushiriki Mkutano Mkuu CCM

By Frank Monyo , Nipashe
Published at 03:34 PM Jan 16 2025
JK safarini kuelekea Dodoma kushiriki Mkutano Mkuu CCM.

Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akiwa katika kituo cha treni ya reli ya kisasa (SGR) Dar es Salaam, tayari kuelekea Jijini Dodoma kushiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa utakaofanyika Januari 18 na 19, 2025.