Meneja Biashara wa Vodacom Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Magreth Mambai, amemzawadia Baraka Ramson mafuta ya bure jijini Mbeya kwenye kampeni ya sikukuu ya "Shangwe Popote Ukiwa na M-Pesa!" inayolenga kurudisha tabasamu kwa wateja.
Picha:Mpigapicha Wetu