Dk. Samia: Walimu chapeni kazi Mama yupo nanyi

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 09:27 PM Feb 24 2025
Rais Samia Suluhu Hassan.

“Wanatanga kwa kweli toka jana mimi sina la kusema. Inaonesha kabisa mlikuwa na hamu ya ziara hii, kwa sababu kila ninapokanyaga umati ni mwingi kwelikweli. Nafurahi kuzungumza nanyi katika uwanja huu, uwanja wa chuo cha waalimu. Ni baraka kuwepo hapa kwa sababu mi mwenzenu walimu nawapenda sana,” Rais Samia Suluhu Hassan.