Naamini Yonazi, mtaalamu wa mifumo ya kompyuta wa Vodacom Tanzania PLC, akizungumza na wasichana wa mafunzo ya ‘Code Like a Girl’ jijini Dar es Salaam, yanayofadhiliwa na Vodacom kupitia dLab ili kuwawezesha kujifunza na kukuza ujuzi wa kidijitali.
Picha:Mpigapicha Wetu