NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

10Jul 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Uungaji mkono huo uwe ni kuacha na kupinga kabisa matumizi hayo na kutoa taarifa kwa watu wote wanaouza, wanaotumia na wanao nyamazia uwepo wa shisha katika nyumba zao na mitaani . Hii ni kutokana...

Venance Mwamoto

10Jul 2016
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Kilio hicho kilitolewa juzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika ndani ya kata hiyo ambapo wananchi hao waliamua kufyatua tofali na kuanza kujenga nyumba za walimu lakini walikwama kumalizia ujenzi...

Joseph Omog

10Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana, Omog, alisema kuwa kambi hiyo ya wiki tatu mkoani humo ni maalum kwa ajili ya kuwafahamu zaidi wachezaji wake na kukijenga kikosi hicho. Alisema kambi hiyo ndiyo itakayotoa...
10Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
achilia mbali nafasi ya kijiografia inayoiweka kuwa kitovu cha miundo mbinu ya usafirishaji wa bidhaa za Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Malawi na Jamhuri ya Congo. Ndiyo maana mpango wa...

Mwenyekiti Taifa Bavicha Patrobas Katambi,

10Jul 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa alithibitisha jana Jeshi hilo kuwashikilia viongozi hao wa Bavicha Taifa . Mambosasa alisema jeshi hilo limewanyima dhamana viongozi hao wa...
10Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Pia Mtibwa Sugar na Prisons zimetoa mchezaji mmoja na kocha mmoja kuwania tuzo hizo. Mabingwa wa ligi kuu na washindi wa tuzo mbalimbali za ligi hiyo msimu uliopita (2015/2016) wanatarajiwa...

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff

10Jul 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Mwenendo wa wananchi kubaguana katika huduma za jamii kama ndani ya nyumba za ibada, maziko, harusini pamoja na mashambani na kwenye ufugaji yanaelekea kuwa mambo ya kawaida hasa kisiwani Pemba...

Makamu Mwenyekiti wa Bavicha, Patrick Olesosopi

03Jul 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Aidha, kwa kuanzia, vijana hao wamedai kuwa watakwenda mkoani Dodoma kuzuia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23, lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa hakuna chama kinakua juu ya...
03Jul 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Ziara ya Rais Kagame, ambaye alitua nchini juzi na kuondoka jana, ya uhusiano mzuri baina ya mataifa haya mawili jirani. Tanzania na Rwanda zimekuwa na uhusiano kwa kindugu kwa miaka mingi na...
03Jul 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Matumizi ya baadhi ya vyakula hasa vyenye kiwango kikubwa cha protini, chumvi au sodiamu na sukari kunaweza kuongeza uwezekano wa kupata baadhi ya aina za mawe ya figo. Uwepo wa kiwango kikubwa...
03Jul 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
*Onyo la madokta: Anayetumia asicheze mbali na mwenza wake kuepuka mateso , *Wizara yafichua balaa vumbi la Kongo, Kizizi cha Mkuyati
Hatimaye Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imeibuka na kueleza wazi kuwa dawa pekee zinazofaa ni zile zilizothibitishwa kitaalamu kuwa zinafaa kwa matibabu hayo na siyo vinginevyo. Nipashe...

WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba, akikagua gwaride la askari polisi katika chuo cha polisi Moshi.

03Jul 2016
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Nchemba aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza na maafisa wa jeshi hilo pamoja na askari wa kawaida wa mkoa wa Dodoma katika kikao kazi kilichofanyika kwenye bwalo la jeshi hilo mjini...
03Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Tofauti na mahitaji ya msingi ya wananchi katika nchi tajiri ambao pamoja na mahitaji tajwa ya msingi kwa binadamu wote, wao pia umeme ni hitajio kubwa la msingi katika maisha yao, kwao umeme...

waziri wa fedha na mipangfo zanzibar dk. khalid salum mohamed

03Jul 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Japo wengine huutumia msemo huu kwa utani kama vile wakiufananisha na kumuachia fisi bucha, lakini ni msemo unaobeba mizani ya kipimo cha kuangalia njia inayotumiwa kutafuta na kufika haki kwa vile...

Stephen Wasira kulia na bernard membe kushoto wakizungumza katika viwanja vya bunge wanaowasikiliza ni Ismail Jussa na january makamba.picha maktaba

03Jul 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
*Ni katika uongozi chini ya Rais Magufuli, *Baadhi wasubiria safu mpya CCM Julai 23
Unaelekea kuhitimisha uwezekano wa kurejea ulingoni kwa wanasiasa kadhaa waliokuwa na majina makubwa katika safu ya uongozi wa Serikali iliyopita ya Rais Jakaya Kikwete wakiwamo mawaziri wa zamani,...
03Jul 2016
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Amewapa matumaini madereva wa bodaboda na bajaji baada ya kuwataka askari wa kikosi cha Usalama barabani na maofisa wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) mkoani Dodoma...

KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Jean Baptist Mugiraneza

03Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mugiraneza yupo nchini kwa Rwanda kwa mapumziko na ameamua kufanya mazoezi na timu hiyo kujiweka sawa kabla hajawasili nchini kuendelea na maandalizi ya ligi kuu na timu yake ya Azam FC....
03Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Unapokatiza mitaani sehemu kama Sinza, Manzese na Kinondoni unaona maji yaliyosambaa na kutuama kwenye madibwi, usipokumbuka kuwa ni mabomba yaliyopasuka utaanza kuwaza mvua ilinyesha lini eneo hilo...

ukataji na ung’arishaji madini

03Jul 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Wito huo, ulitolewa jana na mtaalamu wa ukataji na ung’arishaji madini ya vito kutoka Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) cha Dar es Salaam, Yona Mwambapa, katika maonyesho ya 40 ya Kimataifa ya...
03Jul 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili
Akizungumza jijini Arusha jana wakati wa operesheni ya kukamata wanaohujumu miundombinu ya shirika hilo, Mdhibiti Mapato wa Tanesco mkoa wa Arusha, Mhandisi Hassan Juma Lumuli, alisema wizi wa umeme...

Pages