NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

26Feb 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Kusema ukweli, wapo baadhi ya wanawake wanaotesa waume zao, ni balaa. Na kibaya zaidi kinababa hao wanagumia maumivu moyoni pengine kwa kuona kuwa ni jambo la aibu kulisemea hadharani. Kumbe...
26Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ni maoni ya mwakilishi wa jimbo la Welezo, Hassan Hafidh Khamis, alipokuwa akichangia ripoti ya Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Fedha, Biashara na Kilimo, iliyowasilishwa na mwenyekiti wa kamati...
26Feb 2017
Anceth Nyahore
Nipashe Jumapili
Bajeti hiyo imelenga kuleta mabadiliko na kuharakisha kuchochea maendeleo katika halmashauri hiyo kulingana na vipaumbele vilivyopendekezwa na baraza hilo kulingana na mahitaji, ilielezwa....
26Feb 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Mrema alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari. Alisema muda mfupi baada ya kuanza kazi katika nafasi hiyo alianza kupambana na vita hiyo kwa kuzungumza...

Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile.

26Feb 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Uwepo wa bweni hilo utasaidia kupunguza changamoto ikiwamo tatizo la mimba za utotoni na utoro lililokuwa linawakwamisha mabinti wengi kimasomo .Wahisani waliosaidia ujenzi huo ni kampuni ya Saruji...
26Feb 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Watoto hawafahamu kuwa uzazi katika umri wa utoto unahatarisha maisha ya mama na mtoto kwa vile mama hajafikia umri wa kuzaa hajatimia kiakili (kisaikolojia) na kimaumbile. Ni wazi kuwa mabinti...
26Feb 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Wakichagia ripoti ya Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo iliyowasirishwa na Mwenyekiti wake,Yussuf Hassan Iddi, walieleza kushangazwa na utaratibu huo. Mwakilishi wa Jango’mbe, Abdalla Maulid...

watu wakicheza drafti. picha na maktaba.

26Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ajali hiyo ilitokea majira ya 11.00 jioni ilihusisha basi lililokuwa limebeba wanafunzi waliokuwa wakirudishwa majumbani. Katibu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera, Kilwanila Kaiza alisema...
26Feb 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Magufuli na Museveni walitema cheche hizo kwa mkandarasi wa bomba la mafuta Ikulu jijini Dar es Salaam jana wakati wakizungumza kwa pamoja mbele ya waandishi wa habari kuelezea masuala kadhaa...

SPIKA mstaafu, Anne Makinda.

26Feb 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha , kukua kwa teknolojia duniani kumerahisisha mfumo wa kujifunza na kujiendeleza kwa njia tofauti ikiwamo mtandao. Makinda aliyasema hayo jijini Dar es Salaam juzi wakati akifungua mkutano...
26Feb 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Uchaguzi mkuu hufanyika kila baada ya miaka mitano kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo vyama vyote vya siasa hushiriki kwa kusimamisha wagombea . Katika uchaguzi mkuu wa...

Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioba.

26Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Azam FC imesonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Mtibwa Sugar bao 1-0 na kutinga hatua ya robo fainali. Akizungumza na gazeti hili jana, Cioba, alisema kwake kila...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Haji Omar Kher.

26Feb 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Msimamo wa serikali umetangazwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Haji Omar Kher, alipokuwa akijibu hoja za wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, kabla ya kufungwa mjadala wa kujadili Ripoti ya Kamati ya...

WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.

26Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Aidha amesema umeme mwingi utakaofikishwa kwa wananchi wakati wa utekelezaji wa awamu ya tatu ya kusambaza umeme vijijini unafanywa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA). Kazi hiyo kabambe ya awamu...
26Feb 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Lakini , tatizo la ukosefu wa mashine ya kuchunguza vinasaba (DNA), bado kupatiwa ufumbuzi hivyo kuiweka mashakani hatma ya mabinti wanaobakwa, kupewa mimba na watoto kunajisiwa kwa vile hakuna...
26Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa jana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, katika ufunguzi wa mashindano ya Benki ya Standard Chartered uliofanyika kwenye viwanja vya JK Park jijini, Dar...
26Feb 2017
Joctan Ngelly
Nipashe Jumapili
Kashindi alimfuata mkewe nyuma wakati anakwenda kisimani kuchota maji na kumchoma kisu kilichosababisha kufariki dunia papo hapo, kwa kile kilichodaiwa ni kuchukizwa na mboga kuungwa na mafuta ya...
26Feb 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Kamanda wa jeshi hilo kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro, alisema kuwa kuanzia sasa, ni marufuku kwa bodaboda kuegeshwa kwenye...
26Feb 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Yale yanayotumika kutuharibu kama heroin na mandrax ni madawa . Hivyo, tuna dawa za kutibu magonjwa na yapo madawa ya kulevya. Ni makosa madawa ya kulevya kuyaita dawa za kulevya kama ilivyo...
19Feb 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Awasubirisha Polisi siku 3 kituoni bila kutokea, azima simu, nyumbani hayupo, nyumba nyingine hayupo, apewa saa 48...
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inamtaka Mbowe sasa ajisalimishe Kituo Kikuu kesho ili ahojiwe kuhusiana na tuhuma zinazomkabili za dawa za kulevya. Kamanda wa kanda hiyo, Kamishna wa Polisi...

Pages