NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Katibu Mkuu wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye.

19Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Michuano hiyo inayoshirikisha klabu bingwa za nchi za ukanda huo hayakufanyika mwaka jana na mwaka huu kutokana na kalenda za michuano hiyo kutokuwa "rafiki" kwa baadhi ya timu zilizokuwa zinatakiwa...

Katibu Mkuu wa Chama cha Soka cha Mkoa wa Mbeya (MREFA), Suleiman Haroub.

19Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tukuyu Stars iliyokuwa Kundi A, ilimaliza hatua hiyo ikiwa kinara kwenye kundi lake baada ya kufikisha pointi 10 ikifuatiwa na Ilombe Stars ambayo ilifikisha pointi tisa, wakati kutoka Kundi B...
19Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Shughuli hiyo itakayokamilishwa leo itahusisha pia vipimo kwa ajili ya malaria, minyoo, masikio, pua na koo, pamoja na magonjwa ya ngozi na pia itaendesha upimaji huo wa kansa ya shingo ya uzazi...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo.

19Nov 2017
Margaret Malisa
Nipashe Jumapili
Changamoto hiyo imebainishwa na wajumbe wa mkoa wa Pwani waliokwenda China kutembelea viwanda na kampuni kwa nia ya kujifunza uwekezaji na pia kutangaza fursa za kiuchumi zilizoko Pwani. Katibu...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo.

19Nov 2017
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (Tarura), kuchukua hatua hiyo kabla ya...

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamadi Yusufu Masauni.

19Nov 2017
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Aliwataka kukagua kwanza ili kupunguza ajali za barabarani zinazogharimu maisha ya watu, uharibifu wa mali na miundombinu. Aliwaeleza kuwa stika hizo zitolewe chombo kinapofanyiwa ukaguzi na...
19Nov 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Kikwete aliwatunuku wahitimu hao jana katika mahali ya 47 yaliyofanyika Dar es Salaam . Jumla ya wanachuo 4,757 kati ya hao 488 walitunukiwa shahada za umahiri, 61 stashahada za uzamili na 4,151...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk, Philip Mpango.

19Nov 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Dk. Kayandabila aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam akimwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dk, Philip Mpango, kwenye mahafali ya 10 ya chuo hicho, ambapo wanachuo 521 wa ngazi ya cheti,...
19Nov 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Miongoni mwa vifungu katika sheria hiyo inayosubiriwa kutiwa saini na Rais John Magufuli ili ianze kutumika ni pamoja na kifungo cha maisha gerezani. Lengo la kuweka sheria hiyo kali ni kukomesha...
19Nov 2017
Margaret Malisa
Nipashe Jumapili
Pwani inaelezwa kuwa ina viwanda 371, vikiwamo 282 vidogo, vya kati ni 82 na vikubwa ni 27. Yote hayo ni matokeo ya mkoa huo kukua kwa kasi kutokana na kiwango kikubwa cha uwekezaji. Idadi hiyo ya...
19Nov 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mahindi mengi hupotelea shambani kabla ya kuvunwa…wanyama pori, wadudu, ndege wachangia
Utafiti unaofanyika mara kwa mara kuibua mbegu bora zinazohimili ukame, zisizobunguliwa na wadudu waharibifu pamoja kuzaa sana bila kusahau kukomaa mapema ni mambo yanayowezesha uzalisha kuongezeka...
19Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Kukabidhi jengo lenye maabara ya kupima kiwango na ubora wa vifaa vya ujenzi katika Manispaa ya Temeke, lililojengwa kupitia mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP). Akizungumza...
19Nov 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Mratibu Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

John Bocco.

19Nov 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Bao lake lawaimarisha kileleni kwao...
Simba, inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya Michezoni ya SportPesa, inaendelea kuongoza ligi baada ya kufikisha pointi 22 tatu mbele ya Azam FC na Mtibwa Sugar ambazo zina mechi moja...

Ibrahim Ajibu.

19Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kikosi hicho cha Yanga kinachodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, katika mechi ya leo kinaendelea kumtegemea straika wake mpya, Ibrahim Ajibu kutokana na Amissi Tambwe...
19Nov 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Novemba 9, mwaka huu, Dk. Shika aliibua gumzo baada ya kushinda mnada wa nyumba tatu za kifahari za Lugumi zilizoko Upanga na Mbweni jijini Dar es Salaam. Alishinda mnada huo baada ya kuwashinda...
19Nov 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Kutokana na utata huo, Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashilikia watu 11 kwa ajili ya kuwahoji kuhusiana na tukio hilo. Baba mdogo wa marehemu, Ajuael Makundi, alisema  Novemba 7, mwaka...
19Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Moja ya mimea hiyo ni mti wa mlonge ambao umeelezwa kuwa na faida mbalimbali katika mwili wa binadamu ikiwamo shinikizo la damu na kwa kinamama wanaonyonyesha. Mlonge kama wengine ambavyo...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju.

19Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Wakati wa kusomwa muswada huo, mifuko ya GEPF, LAPF na PPF ndiyo iliyokuwa ikitajwa wakati wa kusomwa kwake. Mifuko mingine ya hifadhi ya jamii iliyopo nchini ni PSPF na Shirika la Hifadhi ya Jamii...

LULU.

19Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Msanii huyo wa filamu na mitindo ameendelea kuwa gumzo katika maeneo mbalimbali ikiwamo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Lulu alihukumiwa kwenda kutumikia kifungo siku ya Novemba 13, hivyo...

Pages