NDANI YA NIPASHE LEO

21Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majengo hayo yanakarabatiwa na kujengwa katika mikoa tisa, ambapo mahakama za mikoa sita zitajengwa ndani ya miezi 6 hadi 12, wakati mahakama za wilaya 19 na za mwanzo 36, zinatarajiwa kukamilika...
21Feb 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, serikali imetakiwa kudhibiti haraka wavuvi haramu katika bwawa hilo kutokana na makundi ya wavuvi hao katika mwalo wa Champumba kutumia sumu na makokoro yanayoua samaki wa umri...
21Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza jana jijini, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Haji Manara, alisema kuwa uimara huo unawafanya waamini kwamba Jumamosi watakuwa kwenye nafasi nzuri ya kulinda lango...
21Feb 2017
Lasteck Alfred
Nipashe
Msuva aliliambia Nipashe jana amekuwa akiwafuatilia mabeki wa Simba na kubaini kuwa ni mabeki wazuri lakini hawana kasi jambo ambalo litawapa nafasi ya kufanya mashambulizi mara kwa mara. Alisema...
21Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yanga inatarajia kukutana na Zanaco ya Zambia ambayo iliiondoka APR baada ya kuifunga bao 1-0 katika mchezo wa marudiano uliofanyika Kigali, timu hizo zilitoka suluhu mjini Lusaka wiki iliyopita....

picha kwa hisani ya mitandao.

20Feb 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Uchunguzi wa Nipashe umegundua kuwa 'mateja' ambao bado wapo mitaani baada ya watumiaji wengi kuonekana kukimbilia katika nyumba za matibabu, wamelazimika kutumia vileo mbadala ili kukidhi haja ya...
20Feb 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu hizo zenye upinzani wa aina yake kwenye soka la Tanzania, zinatarajia kupambana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi ijayo, Februari 25, kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara...
20Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Itakuwa ni mara ya pili kukutana mwaka huu, kwani zilipambana kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mjini Zanzibar Januari. Pia itakuwa ni mechi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara...
20Feb 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa miaka ya hivi karibuni, hakuna kumbukumbu yoyote inayoonyesha mchezaji aliyefunga penalti mara mbili kwenye mechi moja ya Ligi Kuu. Isihaka, ambaye kwa sasa anaichezea African Lyon, alifunga...
20Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
** Kocha huyo amesema wapinzani wao hao kwenye klabu bingwa Afrika si timu ya kubeza...
Akizungumza na gazeti hili jana, Lwandamina, alisema naifahamu timu hiyo na anaamini mechi yao itakuwa ngumu. "Si timu rahisi, ni timu ngumu, lakini mimi najivunia kikosi changu hivyo tutaanza...

Vincent Bossou.

20Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili juzi, Bossou, alisema kuwa Simba ina washambuliaji wazuri lakini hakuna anayemyima usingizi kuelekea kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania bara. "Hakuna ninayemuhofia pale,...
20Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Azam itaumana na timu hiyo baada ya Waswaziland hao kufanikiwa kuwato nje ya mashindano klabu ya Orapa United ya Botswana. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Cheche, alisema ni vyema...

Methodi Mwanjale.

20Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwanjale aliumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tanzania Prisons na kushindwa kuendelea na mchezo huo hali iliyozua hofu kwa mashabiki wa timu hiyo ambao walikuwa na wasiwasi wa kumkosa beki huyo...
20Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Katibu Mtendaji wa Mfuko Kichochezi wa Kuendeleza Kilimo Biashara Ukanda wa Kusini mwa Tanzania, Dk. John Kyaruzi, alipokuwa akizungumza na waandishi jijini Dar es Salaam...
20Feb 2017
Nathan Mtega
Nipashe
Aidha, walimu wengine 10 wanaendelea kutafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma kama hizo. Viongozi hao walitiwa mbaroni jana wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho baada ya wajumbe kupokea...
20Feb 2017
Samson Chacha
Nipashe
Sambamba na hatua hiyo, pia kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorius Luoga, imekamata magunia 20 ya dawa hizo za kulevya. Kuteketezwa kwa mashamba na...
20Feb 2017
Benny Mwaipaja
Nipashe
Meli hizo zinatarajiwa kufanyiwa majaribio Ziwa Nyasa mwishoni mwa mwezi huu na kukabidhiwa rasmi serikalini mwezi ujao. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine Transport Ltd ya jijini...
20Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na hilo, Waziri Mkuu amewataka wamiliki wa kiwanda hicho waandike barua kwa Rais John Magufuli kabla hajamaliza ziara yake Jumatano, apate nakala ya barua hiyo. Alitoa agizo hilo jana...
20Feb 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu hizo ni Singida United ya mkoani Singida, Lipuli ya Iringa na Njombe Mji ya mkoa mpya wa Njombe.Kati ya timu hizo, ni Njombe mji pekee iliyopanda ligi kuu kwa mara ya kwanza, Singida United na...
20Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Timu hizo zilizopata siti ya kwenye basi la Ligi Kuu Tanzania bara ni pamoja na Lipuli ya Iringa, Singida United ya Singida pamoja na Njombe Mji ya mkoani Njombe. Ukiziondoa Lipuli na Singida...

Pages