Bwana harusi aliyejiteka ashtakiwa kwa wizi

By Grace Gurisha , Nipashe
Published at 02:26 PM Dec 24 2024
Mfanyabiashara Vicent Massawe (36), akiwa nje malango wa chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akisubiri kuingia ndani kusomewa mashtaka yake yanayokabili.
Picha: Grace Gurisha
Mfanyabiashara Vicent Massawe (36), akiwa nje malango wa chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akisubiri kuingia ndani kusomewa mashtaka yake yanayokabili.

BWANA harusi, Vicent Massawe (36) anayedaiwa kujiteka mwenyewe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo.

Massawe, amesomewa mashtaka mawili, likiwamo la tuhuma ya wizi wa gari aliyopewa kwa ajili ya kutumia kwenye harusi yake.

Vicent Massawe