Mume wangu alienda ughaibuni kufanya ufuska!

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 08:28 PM Oct 28 2024
 Ughaibuni
Picha:Mtandao
Ughaibuni

Tuliishi pamoja na mume wangu ambapo sote tulikua wasomi, mume wangu alifanikiwa kupata kazi katika Wizara ya Afya, mimi nilikua Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Baada ya kuhudumu katika Wizara ya afya nchini kwa miaka 10, mume wangu aliacha kazi na kusema anaenda kuongeza elimu nchini Marekani.

Huu ndio ulikuwa ni mwanzo wa mahangaiko yangu kwani nilifahamu fika kwamba iwapo angeenda Marekani basi ataniacha mpweke na kiu ya mapenzi. 

Tulikuwa na mtoto mmoja, suala ambalo pia lingeathiri malezi yake, nilipomuuliza ikiwa tunaweza kwenda wote kama familia Marekani, alikataa kwa madai nafasi ipo ya mtu mmoja pekee.

Kama nilivyomfahamu, mume wangu alikuwa mtu aliyetamani wanawake kwani mara nyingi niliwahi kumfumania na michepuko,tarehe ilipofika aliondoka tukamsindikiza hadi kwenye uwanja wa ndege. Machozi yalinitiririka kwani ilikuwa ndio mwanzo wa upweke wangu. 

Ilikuwa arejee nchini baada ya miezi mitatu lakini miezi mitatu ile ilipokamilika hapakuwa na ishara kwamba angerudi, nilikuwa na kiu ya mapenzi. 

Mume wangu wangu alisitisha mawasiliano, namba za simu ambazo hapo awali tuliwasiliana naye zikawa hazipatikani, nilipoenda kwenye ubalozi wa Marekani nchini waliniarifu kwamba mume wangu alikuwa sawa kwenye ziara ya masomo kwani hakuna kisa chochote kibaya ambacho kimeripotiwa.

Kila siku nilipiga moyo konde kwamba mahali popote ambapo mume wangu yupo, basi hali yake ilikuwa shwari kabisa, nilifanya juhudi za kuwaulizia ndugu zake kama walifanya mazungumzo naye lakini jitihada hizo hazikufua dafu.

Siku moja nilishangazwa na mume wangu alipopiga picha akiwa kwenye fukwe akiwa na binti mmoja wa kizungu, suala hili lilinitia wasiwasi kwani nilifahamu kuwa alikuwa ameanza kuzini na wanawake wa uzunguni na hapo itakuwa vigumu kurejea nchini. 

Nilidondokwa na machozi kwani sikuwa na lolote la kufanya,nilijaribu kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali lakini wote walinikejeli kwani walisema kwamba ningeenda naye Marekani. 

Ilifikia wakati ambapo nilianza kuwaendea waganga mbalimbali kwa ajili ya uganguzi wao lakini hela zangu ndizo zilizokuwa zinatumika kwani walitaka fedha nyingi. 

Kila baada ya wiki mume wangu alipiga picha na wanawake tofauti warembo na kuweka mtandaoni, nilikumbwa na msongo wa mawazo kwani sikujua chochote ambacho ningefanya kwa wakati ule.

Siku moja nilikutana na tovuti ya Dk. Bokko ambaye alikuwa akiwasaidia watu wenye shida mbalimbali za kifamilia, shida za mapenzi n.k.

Nilimpigia simu na akatenga wakati wa kuonana na mimi, nilimtembelea Dk Bokko na akanihudumia kwa haraka nilipomueleza shida zangu.

Baada ya siku mbili mume wangu alinipigia simu kuwa alikuwa safarini akirejea nchini, siku ya tatu tulienda kumpokea uwanja wa ndege, machozi yalimbubujika huku akiomba msamaha. 

Alisema kuwa hakuwa hata amesoma chochote kwani lindi la anasa lilighubika maisha yake ughaibuni, nilimsamehe na yote tukasahau na hapo tukaanza kuishi maisha kwa furaha na upendo kama hapo awali. 

Ukiona mambo hayaendi kama unavyotaka, basi usisite kuwasiliana na Dk. Bokko kwa namba +255618536050, mtaalamu huyu amesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa miaka mingi sasa.