Uteuzi wa Stephen Wasira wapata baraka za wajumbe wa CCM
By
Hamida Kamchalla
,
Nipashe
Published at 08:47 AM Jan 19 2025
Waziri wa Ardhi, Nyumbani na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi.
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM wamebainisha kukubali na kuridhishwa na uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen Wasira katika uchaguzi uliofanyika jijini Dodoma.