Makamba ammwagia sifa kedekede Wasira

By Hamida Kamchalla , Nipashe
Published at 08:55 AM Jan 19 2025
Wasira ammwagiwa sifa kedekede.

Aliyekuwa Waziri wa Nishati, ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema Steven Wasira kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni sahihi kwani amekulia katika misingi ya chama.