Msemaji Mkuu wa Serikali aunadi Mkutano wa EAPCE 25

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 03:33 PM Feb 17 2025
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameunadi mkutano wa EAPCE 25 katika Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari wenye lengo la kuzungumzia mafanikio kwenye Sekta ya Nishati.