Kesi ya Raia 8 wa Pakistan ya Uhujumu Uchumi ya Kusafirisha dawa za Kulevya aina ya Heroine Kilo 22.52 na Methamphetamine kilo 424.77 imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo kwakuwa ushahidi haujakamilika.
Aidha washitakiwa hao ni, Mohamed Habifu(50), Mashaal Yusuph(46), Imtiaz Ahmed(45), Tayab Pettilwam(50),Immambakish Kudhabakish(55), Chand Mashaal (29), Akram Hassan (39) na Shehzal Hussein (45).
Kesi hiyo inatarajiwa tena kutajwa tena Februari 4 mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.
Kusoma habari hii zaidi tembelea epaper.ippmedia.com
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheDigital
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED