Mwanasheria Mkuu wa serikali Hamza Johari (kulia) akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu) Mary Maganga (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Abdul-Razaq Badru (wapili kushoto).
Picha:Mpigapicha Wetu
Viongozi wa PSSSF na Ofisi ya Waziri Mkuu kabla ya kikao cha Kamati ya Ustawi wa Jamii, bungeni Dodoma.
Picha: Mpigapicha Wetu