Diwani Makanyagio atekeleza maagizo ya mlezi wa CCM Katavi

By Neema Hussein , Nipashe
Published at 04:51 PM Feb 13 2025
Meya wa Manispaa ya Mpanda ambaye ni Diwani wa kata ya Mkanyagio.

Maagizo ya Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi Mohamed Dimwa yameanza kutekelezwa kwa kuhakikisha wabunge na Madiwani wanatekeleza ahadi walizotoa kwa wananchi kipindi wanaomba kura ikiwanipamoja na kufanya mikutano ya Jimbo na kata kuwaeleza wananchi jinsi Ilani ya Chama hicho ilivyotekelezwa kwenye maeneo yao.