BWANA harusi, Vicent Massawe (36) anayedaiwa kujiteka mwenyewe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo.
Massawe, amesomewa mashtaka mawili, likiwamo la tuhuma ya wizi wa gari aliyopewa kwa ajili ya kutumia kwenye harusi yake.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED