NDANI YA NIPASHE LEO

ENEO LA MAKAZI YUA WATU LILILOPO KARIBU NA Bwawa la Nyumba ya Mungu.

28May 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Mafuriko hayo yamesababisha pia kukatika kwa mawasiliano kati ya vijiji vya mikoa ya Manyara na Kilimanjaro.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira alisema juhudi za kuhamisha wananchi hao zilikuwa...
28May 2018
Ibrahim Joseph
Nipashe
Hayo yalielezwa mwishoni mwa wiki na Meneja mradi wa shirika la Livelihood Basix Tanzania (LBT,  Atilio Mbwilo, wakati alipofanya ziara ya kukagua hali za uzalishaji wa zao la alizeti kwa...
28May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Novemba mwaka jana wakati wa kuhitimisha mkutano wa tisa wa Bunge la 11, Spika Job Ndugai alitangaza kuunda kamati mbili ikiwamo ya wajumbe 11 aliyoipa jukumu la kuchunguza mfumo mzima wa sekta ndogo...

TFF

28May 2018
Mhariri
Nipashe
Ratiba ya mechi za leo ni mabingwa Simba ambao watakuwa ugenini Songea kuivaa Majimaji FC, huku Yanga ikiwa na kibarua kigumu dhidi ya Azam FC Uwanja wa Taifa.Mechi zingine za kukamilisha ratiba hiyo...

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora), George Mkuchika.

28May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jijini Mbeya wakati wa Mahafali ya 28 ya TPSC, Waziri Mkuchika, aliwaambia wahitimu hao kuwa mafunzo waliyoyapata chuoni hapo yasiishie kwenye vyeti.“Ninawasihi huu usiwe mwisho wa...

MKUU wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

28May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mtaka alisema hayo juzi wakati akifungua washa ya siku moja iliyoandaliwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ya kikao kazi cha wanahabari kuhusu uhamasishaji wa sheria ya chakula na dawa, vipodozi...

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Shujaa Suleiman Shujaa zawadi ya shilling milioni 15 baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kwanza wa Mashindano ya 19 ya Afrika ya kuhifadhi Quran kwenye kundi la washiriki wa juzuu 30.

28May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shujaa mwenye miaka 23 ambaye ni mkazi wa Morogoro, amejishindia pia laptop, kiwanja chenye hati eneo la Kigamboni kilichotolewa na kampuni ya Property International ya jijini Dar es Salaam pamoja na...
28May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Vyombo vya habari vya Ufaransa vimeeleza kuwa na uhakika kwamba Fekir, 24, atashuka katika nyasi za dimba la Anfield akiwa chini ya Jurgen Klopp msimu ujao, baada ya kukubalina na miamba hiyo ya...
28May 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Azam FC, tayari wameshamsainisha aliyekuwa straika wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma.Kuna taarifa kuwa Simba wiki hii inamalizana na straika wa Majimaji, Marcel Boniventure.Kama vile haitoshi, Azam...

MBUNGE wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele.

28May 2018
Marco Maduhu
Nipashe
Kutokana na nafasi hiyo, atakuwa na fursa ya kuzungumza na marais, watu mbalimbali na wafanyabiashara wakubwa na kuwashawishi kuja nchini kuwekeza katika viwanda.Hayo yalisemwa juzi mjini Shinyanga...
28May 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Utafiti wa kitaalamu umetaja sababu mbili za mtoto kuzaliwa akiwa na ulemavu wa kusikia. Sababu ya kwanza ni mama kufanya kazi katika mazingira ya kelele nyingi akiwa mjamzito.Sababu ya pili...
28May 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Baada ya kumalizika kwa ligi klabu zitaanza mikikimikiki ya usajili kwa ajili ya kuviboresha vikosi tayari kwa msimu ujao.Wakati tukisubiri ligi iishe leo, tayari klabu ya Azam imeanza kukunjua...

Njombe Mji.

28May 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Ushindi wa mabao 3-0 iliyoupata Ndanda FC dhidi ya Mwadui kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, uliifanya timu hiyo inayotumia Uwanja wa Sabasaba kushuka daraja.Baada ya matokeo hayo, timu hiyo...

Jonas Mkude.

28May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkude, ambaye yupo mjini Songea pamoja na kikosi cha Simba kwa ajili ya mchezo dhidi ya Majimaji, amesema wanautaka ubingwa wa SportPesa ili wapate nafasi ya kucheza na timu kubwa ya Everton ya...

korosho.

28May 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Taarifa ya Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Upendo Wella, imeeleza kuwa serikali wilayani humo imepokea ripoti ya wataalamu wa utafiti iliyothibitishwa na CBT ikiambatana na na miche 16,000 ya zao hilo...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini Mushi.

28May 2018
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini Mushi, aliwataja majeruhi kuwa ni Hamisi Sinkala (32), mkazi wa Mtaa wa Ruvuma Manispaa ya Songea ambaye anaendelea...

Haji Manara-Simba.

28May 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Maafisa Habari hao kazi yao ilikuwa ni kutoa habari kwa wanahabari, ili kuwafikia wanachama, wapenzi na mashabiki wa michezo na klabu zao kwa ujumla ili kujua nini kinafanyika kuelekea kwenye mechi...

Salah, akilia baada ya kuumia juzi.

28May 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
FA ya Misri imefafanua kuwa hofu iliyotanda awali baada ya Salah kuumia katika mchezo huo siyo kubwa kama ilivyodhaniwa, kufuatia vipimo kuonyesha uhalisia wa tatizo.Nyota huyo wa Liverpool alitoka...

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke Bussemaker.

28May 2018
Salome Kitomari
Nipashe
 Mikopo hiyo, imeelezwa zaidi, haibagui kati ya wafanyakazi wa sekta binafsi au serikali, na kwamba kinachoangaliwa ni mikataba ya kudumu au ya muda mrefu.Kutolewa kwa mikopo hiyo ni mwendelezo...

KIKOSI CHA SIMBA.

28May 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
***Vita vya nafasi ya pili na kushuka daraja Ligi Kuu ikifikia ukingoni...
Ingawa Simba tayari imeshatangazwa bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2017/18, leo itashuka dimbani kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea ikisaka heshima dhidi ya Majimaji wakati huu ikiwania kushinda...

Pages