Nilikuwa mchuuzi katika jiji la Nairobi ambapo nilikuwa nauza vitu mbalimbali vya urembo kwenye maeneo yaliyokuwa na watu wengi kama kwenye maegesho ya magari, vilabu vya pombe na muziki na sehemu nyinginezo.
Hii ndio ilikuwa kazi ambayo ilinilisha na mwanagu kwani nilikuwa naishi bila mume, maisha yalikuwa magumu kweli kwenye biashara hii kwani changamoto zilikuwa ni nyingi sana.
Kila mara nilikamatwa na Polisi hata wakati mwingine sikujua ni kosa gani nililofanya, nilikuwa nalipa kiasi cha pesa nyingi ili kuachiliwa lakini baada ya siku kadhaa nilijikuta tena mikononi mwa Polisi hao.
Mwezi usingeisha bila kulala kituo cha Polisi, nilikuwa mtu anayefuata sheria zote za jijini lakini kukaa bila kukamatwa na Polisi ilikuwa ni mwiko kwangu.
Suala lililoniuma zaidi ni kwamba nilikuwa nalipa kiasi kikubwa cha fedha ile niwe huru na ikiwa singelipa basi ningepelekwa hata kortini jambo ambalo ni baya zaidi katika maisha.
Sikuwa na lingine la kufanya kwani bila kutembeza bidhaa zangu jijini singepata kipato changu cha kila siku, hiyo ndio kazi niliokuwa nategemea kuwa itanilipia kodi na kunipa mkate wa kila siku na familia yangu.
Chebet ambaye alikuwa rafiki yangu alinielekeza kwa Dk Bokko, alisema mtaalam huyu ataweza kuniondolea mikosi maishani mwangu hasa hiyo ya kukamatwa na Polisi.
Aliniambia kwamba Dk Bokko alikuwa amemsaidia dada yake kufanikiwa kibiashara, nilikaa wiki moja na kupata nauli ya kwenda mjini Kericho kukutana na Dk Bokko.
Nilishangaa kwani alinitabiria shida zangu suala ambalo liliniacha kinywa wazi nisijue la kufanya, alinihoji na baada ya muda mchache akanipa dawa ambazo alinipa maagizo ya kuzitumia kila siku kwa muda wa siku tatu pekee.
Nilitumia zile dawa kama nilivyoshauriwa na Dk Bokko, ghafla tu nilishangaa kwani licha ya kila mara Polisi kupiga doria mjini lakini tangu siku ile sikuwahi kukamatwa na maisha yangu yakaanza kuwa na maendeleo tangu wakati huo.
Wala usiumize kichwa kabisa, ukiona mambo hayaendi kama unavyotaka, basi usisite kuwasiliana na Dk Bokko kwa namba +255618536050, mtaalamu huyu amesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa miaka mingi sasa.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED