VYOO vilivyopo katika Soko Kuu la Singida vimejaa na vinatiririsha maji machafu yenye harufu mbaya sana yanatiririka hadi kwenye biashara za watu kama unavyoona kwenye picha hiyo hapo.
Kwa mujibu wa wafanyabiashara wanasema tatizo hili lipo kwa wiki sasa halijapatiwa ufumbuzi licha ya kutoa taarifa kwa viongozi. Hali hii inahatalicha kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED