MBUNGE wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ameonyesha kutofurahiswa na kasi ndogo ya ujenzi wa barabara ya Engosheraton na kumtaka Mkandarasi Jiangxi GEO aongeze kasi, akieleza kuwa ilitakiwa iwe imefikia asilimia 86 lakini hadi sasa ipo asilimia 60 kwa mujibu wa wasimamizi wa mradi huo.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED