Dk. Biteko aagiza kituo huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 05:40 PM Jan 09 2025
Dk. Biteko aagiza kituo huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO) kufuatia kituo hicho kushindwa kuwahudumia Wananchi kwa viwango vinavyotarajiwa.