“Tanzania imepiga hatua katika Diplomasia ya kimataifa”

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 04:43 PM Jan 10 2025
Rais Samia Suluhu Hassan.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa Tanzania imepiga hatua katika Diplomasia ya kimataifa.