Naibu Meneja Mkuu wa The Guardian Ltd, Jackson Paul akimkaribisha Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, kutembelea kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana.
Picha:Miraji Misala
Balozi wa China akisalimiana na Meneja wa Teknolojia ya Habari, Allan Mshana.
Picha:Miraji Misala
Mhariri Mtendaji wa gazeti Nipashe, Beatrice Bandawe, akitambulishwa kwa Balozi wa China nchini, Chen Mingjian.
Picha:Miraji Misala
Balozi wa China akiangalia namna mchakato wa uchapaji wa magazeti unavyofanywa wakati alipotembelea kiwanda cha uchapaji cha The Guardian Ltd Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.
Picha:Miraji Misala
Uongozi wa Kampuni ya The Guardian Ltd ukiwa katika mazumgumzo na Balozi huyo baada ya kutembelea kampuni hiyo jana.
Picha:Miraji Misala
Naibu Meneja Mkuu, Jackson Paul (katikati) na Mhariri Mtendaji wa gazeti The Guardian, Wallace Mauggo (kushoto), wakipokea zawadi ya Heri ya Mwaka Mpya kutoka kwa Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, jana.
Picha:Miraji Misala