RC Chacha amtumbua Meneja wa GPSA kisa ulevi

By Vitus Audax , Nipashe
Published at 01:00 PM Feb 19 2025
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoani hapo Mayala Ambuli kwa madai ya ulevi na kutukana watumishi akiwemo Mkuu huyo wa Mkoa.