RC Makonda aipongeza REA kusambaza umeme vijijini.
Ampongeza Dkt. Biteko kwa usimamizi wake Sekta ya Nishati
Makonda amesema hayo leo Disemba 17, 2024 kabla ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kufungua Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika jijini Arusha.